Labda kama una mkopo nao ila mshahara unaweza hamishia benki yoyotePole sana mdau, mimi tokea nijaze hizo form za maombi ya hiyo huduma ya NBC-Mobile banking ni zaidi ya minne(4) bila bila mpaka sasa, kwa kweli natumia tu hii bank kwa kuwa mshahara wangu unapitia kwa hii bank, otherwise ningekuwa nimewapiga chini siku nyingi sana, bado huduma zao nyingi ni local.
Kwa kifupi nimeshakata tamaa!
Me nna mpango jmosi nikasombe pesa zootee..ya ajabu sana hiI bank.ngoja tu zihamie nmb pamoja na folenI zote
mbona mimi niliunganishwa na hii huduma mara moja hata haikuchukua robo saa? ulijaza fomu zako fresh mkuu?
Nmb nao ni kenge ndani ya msafara wa mamba mie nilijaza fomu Magomeni branch kuomba kubadili namba ya nmb mobile tangu 7.5.2014 hadi sasa hakuna kitu
Pole sana mdau, mimi tokea nijaze hizo form za maombi ya hiyo huduma ya NBC-Mobile banking ni zaidi ya minne(4) bila bila mpaka sasa, kwa kweli natumia tu hii bank kwa kuwa mshahara wangu unapitia kwa hii bank, otherwise ningekuwa nimewapiga chini siku nyingi sana, bado huduma zao nyingi ni local.
Kwa kifupi nimeshakata tamaa!
Nmb nao ni kenge ndani ya msafara wa mamba mie nilijaza fomu Magomeni branch kuomba kubadili namba ya nmb mobile tangu 7.5.2014 hadi sasa hakuna kitu
Hivi hii huduma nbc mpk ujaze fomu..mbona nmb unajiunga binafsi pale kwa atms
Wasiponiunganisha mpaka leo saa kumi, kesho naenda mojamoja kwa branch manager
At last nimepokea message.Bila shaka walipita huku na kuona malalamiko.Asanteni NBC. Boresheni huduma zaidi