C clara New Member Joined Oct 4, 2010 Posts 3 Reaction score 1 Oct 12, 2010 #1 Habari wana jamiiforum, Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
Habari wana jamiiforum, Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Oct 12, 2010 #3 TTCL, nakushauri broad band yao ni nzuri.