Money team
Member
- Nov 28, 2018
- 15
- 4
Habari wanajukwaa!
Umeandika kihuni sana, Dodoma sehemu gani mnapatikana????Habari wanajukwaa!
Karibu tukupatie huduma ya massage ya misuli iliyokaza au viungo vinavyouma au uchovu wa mwili kwa bei rahis kabisa ambayo kila mtu anaweza kumudu.Kwa nini uteseke na maumivu ya misuli na viungo wakati suluhisho lipo?Hii pia ni kwa wanamichezo,wafanya mazoezi na wote wanaofanya kazi ngumu kiasi cha misuli kuuma au kuchoka.
Tunapatikana Dodoma au unaweza kutupigia kwa 0759026697
NB Hakuna mambo ya happy ending wala special treatment tafadhali,zingatia na heshimu maadili ya kazi!
Karibuni sana na mteja kwetu ni mtu wa thamani!