Hivi hiyo huduma bado ipo kweli??
Nadhani hawapo nayo serious sana, maana hata kutangaza hawatangazi saiv wanataka kwanza tupande basi lao jekundu tu (mjadala mwingine huu)
Akaunti ya M-pesa inanisaidia sana kwa dharura....
Japo ukweli mitandao yetu ya simu bado inarespond taratibu sana na technolojia ya dunia, kwa mda huu ilitakiwa simu iwe zaidi ya kupiga na kusms tu