Huawei Y360-U61 Update Installation Failure

Elvicepride

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
243
Reaction score
65

Hii update niliyoipata inagoma kuinstall kwasababu smartphone yangu iko Rooted na ikishaandika update failed ina stuck kwenye bootloop ilinibidi nidownload official stock firmware ndio ikakubali ikarudi kama mwanzo kuna mtu ananjia nzuri ya kuinstall update kwenye rooted smart ikubali anisaidie,??
 
Attachments

  • Screenshot_2015-12-15-15-29-10.png
    12.7 KB · Views: 290
  • Screenshot_2015-12-15-15-35-04.png
    26.1 KB · Views: 302
hua ukiroot simu ni kama unavunja mikataba yote na manufacture wa simu. ni simu chache sana duniani ambazo kuroot ni halali.

unroot then install update then root upya
 
hua ukiroot simu ni kama unavunja mikataba yote na manufacture wa simu. ni simu chache sana duniani ambazo kuroot ni halali.

unroot then install update then root upya
Done that already still failed, nilishafanya hivyo nilisha Unroot then nikainstall ikagoma
 
Done that already still failed, nilishafanya hivyo nilisha Unroot then nikainstall ikagoma

kuna wakati uki unroot inaacha vitu hivyo still simu inaona kama bado imerootiwa.

ukiflash firmware upya root inaondoka tumia opportunity hio kuinstall na updates kabisa. au kadownload firmware mpya yenye updates zote.
 
Firmware mpya zenye updates zote hawajazitoa bado kwenye website ya Huawei ngoja nijaribu hiyo njia yakuinstall updates nikishaflash kwa hii stock firmware ambayo ninayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…