Huawei Y-300 inauzwa bei poa

Huawei Y-300 inauzwa bei poa

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
Huwawei y300 inauzwa bei 125,000 betri 2 bei haipungui ina sclin protector haina scratch hata kidogo ipo Dar es salaam bei haipungui 0712690760
 
ina sclin ndiyo kifaa gani hicho kwenye simu mkuu?
 
Mkubwa nahitaji sana hiyo simu kama ukikubali kwa elfu 60 ni-sms kwenye number yangu 0713800880.
 
Jamaa sijui ni mlevi maana nimemtext kumwambia anipunguzie matusi aliyonipa ni siri yangu yaani huyu jamaa sio muungwana hata kidogo mie nimemwambia punguza bei kidogo asee nimeyakoga matusi pasi na kutarajia
 
Hahahaha pole Sana asee biashara zina watu wake ndugu. (Nimeyakoga matusi pasina kutarajia)
 
Jamaa sijui ni mlevi maana nimemtext kumwambia anipunguzie matusi aliyonipa ni siri yangu yaani huyu jamaa sio muungwana hata kidogo mie nimemwambia punguza bei kidogo asee nimeyakoga matusi pasi na kutarajia

Asa umesikia bei inapungua? Mambo mengne kujitakia tu
 
Djesco nizambi kubwa sana kwamungu kushuhudia uongo andika matusi nilio kutukana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom