Akiyajibu haya maswali plz ni-tag mkuuMkuu ungeweka picha, na maelezo kidogo kama ina receipt ya manunuzi, warranty/guarantee au ni ya magumashi.
nmeshasema ina one week so ni mpya kabisa, kuhusu picha nmeshaziweka hope umeziona
Akiyajibu haya maswali plz ni-tag mkuu
receiptList unatoa?
ipo active ndugu...how come ni wewe tu ionekane imefungwa?
recept utapata ..ukihtaji
warranty miezi6