Huawei na HarmonyOS

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Je, nikweli Huawei wataweza kuishi katika ulo wengi wa androids na iOS


Mie binafsi napenda kupata kitu tofauti.
 
Je, nikweli huawei wataweza kuishi katika ulo wengi wa androids na iOS.

Mie binafsi napenda kupata kitu tofauti
Kwasasa katoa copy ya android 10 aliyoiita Harmony OS ngoja tuone mbeleni.
 
akaze tu hakuna kitu rahisi duniani.

asiwe kama akina window, wazembe wazembe.

kwanza kwa idadi ya wachina tu, wana uwezo wa kuipatia hiyo OS mpya developer wa kutosha, tukapata apps mpya zinazofanana na watsapp,insta na hata zinginetena zikawa bora zaidi kama wichart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…