Huawei modem e153 imegoma ku unlock.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,906
Wadau, pamoja na thread nyingi zilizo ndani ya jukwaa hili kuhusu ku unlock modem, nimezifuatilia lakini zimefail kufanyakazi. Modem ni huawei e153 (Tigo).
 
Hiyo sahau kaka haikubali ishashindikana tokea mda sana
 
Nilisha unlock yangu tena mwenyew ila sikumbuki nilivyofanya, google huawei e153 unlock utakutana na forums kibao zitakazokupa mwongozo, nilijatibu app kama 4 ivi ya mwisho ikakubali
 
Nilisha unlock yangu tena mwenyew ila sikumbuki nilivyofanya, google huawei e153 unlock utakutana na forums kibao zitakazokupa mwongozo, nilijatibu app kama 4 ivi ya mwisho ikakubali

Miongozo yote ime-fail.
 
mtafute gkiwango akutumie desa...inachakachulika vizuri tena dakika 5 tu
 
Mkuu tafuta kuna uzi ulishajadiliwa hapa. Unatakiwa uiflash kwa huawei flasher na ukimaliza itadai unlock code. Kwa hiyo lazima uwe na huawei code calculator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…