Mi nauza mpya kwa box yake 130k!na accesories zake zote yan earphone,charger,usb hadi kitabu..!
Huawei y200 fully rooted ina custom rom, aitokutesa kama utayo inunua tigo..maana hii ipo faster na unaeza install apps nyingi zaidi.Hii ni a better choice wakuu
Mi nauza mpya kwa box yake 130k!na accesories zake zote yan earphone,charger,usb hadi kitabu..!
Tayari nimeweka