Huawei G610

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Ningependa kuwa na simu mojawapo ya Huawei. Je, hii model ya G610 kwa wale walionazo au wanauzoefu na simu za Huawei, simu hii inaweza kuwa nzuri kwa matumizi ya kawaida ya smartphone? Naomba mnijuze tafadhali
 
Ni simu nzuri tu. Ila kuna G610 S ambayo ni nzuri zaidi ya hii. Ila hata hii 610 ni nzuri kwa sababu ni Android na ina support application mbali mbali
 
Chukua iko poa nimechki spec zake
Rom 4gb
Ram 1gb
Camera 5mp
Display 5"
 
Unaposema nzuri unamaanisha katika maswala yepi?
 
Ni simu nzuri tu. Ila kuna G610 S ambayo ni nzuri zaidi ya hii. Ila hata hii 610 ni nzuri kwa sababu ni Android na ina support application mbali mbali

Nini tofaut kati ya hiyo g610s na hiyo g610?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ