J jengo Member Joined Oct 16, 2012 Posts 75 Reaction score 8 Jan 14, 2014 #1 kwa bahati mbaya nime delete kwenye menu icon ya kupiga picha kwenye cmu yangu ya huawei ascend y300. mwenye kujua jinsi ya kurudisha ili niweze kupiga picha, ni ile icon ya kupiga picha kwa nyuma
kwa bahati mbaya nime delete kwenye menu icon ya kupiga picha kwenye cmu yangu ya huawei ascend y300. mwenye kujua jinsi ya kurudisha ili niweze kupiga picha, ni ile icon ya kupiga picha kwa nyuma