HTC yangu inanizingua mwanga

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,152
Reaction score
1,855
Msaada jaman kwa anayejua tatizo la hii htc sensation audio bit, yaan kunawakati display inakuwa kama ina blink blink hv ila blinking yake co ile ya kuzima kabisa na kuwaka ispokuwa mwanga tu unawaka na kupungua nguvu sasa cjui tatizo nn jaman naomben msaada
 
hujaeka brightnesss kama auto? kama umeeka itakuwa inajipunguza yenyewe na kujiongeza mwanga kutegemea na mahala ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…