HTC ONE imetumika miezi sita na iko katika hali nzuri , haina tatizo lolote. Ina kila kitu chake kwenye box kama inavyoonekana kwenye picha.
Bei ni 850,000/=
Anayeihitaji ni PM, Ahsanteni wote.
Bei ni 850,000/=
Anayeihitaji ni PM, Ahsanteni wote.