Used imetumika kidogo haina michubuko kama mpya...
Model: HTC T328w
Dual sim
Android version 4.0.3
Single core processor
512MB memory
Internal 0.94GB
5M flash,camera
Mkuu vipi 220000/- inaenda? Nilikuwa na ya kwangu kama hiyo ila white in colour, nilikaa nayo mwezi mmoja tu vibaka wakaipitia, bado nilikuwa ninaihitaji!