HTC desires haishiki network

Hollyreath

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
126
Reaction score
12
habari wadau. simu yangu ghafla tu imekata network. pale kwenye network bar imeweka alama ya x. nimejaribu kusearch network inaniambia. error in searching network .. msaada tafadhali
 
je ungeizima kisha baada ya muda uwasha, isije kuwa ni network ya provider ndio tatizo...
 
nimezima nimewasha. nimei restart but tatizo lipohapo hapo
 
Htc zna matatzo ya network,peleka kwa fundi ingawa uwezekano wa tatizo kurudi ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…