HR's (waajiri)msaada wa kazi

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Wakuu habarini!

Wakuu nipo mbele yenu kuomba kazi yeyote ile,waajiri wote mliopo umu ndani naombeni mnisaidie kazi ili niweze kuishi hali imekuwa mbaya sana kwa upande wangu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27
Elimu yangu ni shahada ya uwalimu wa masomo ya sanaa.

Nipo mbele yenu kuomba kazi yeyote ile ..

HRs wote mliopo hapa naombeni msaada wenu.
 
Asante kwa ushauri,lakin sshv shule ndo hivyo...so niliitaji kazi yeyote tofaut na fani yangu...haya iwe ya nguvu nitafanya.
 
Unapokua na shida, kichwa hakifanyi kazi vizuri. Huwezi kutoboa na 300k
Mwanzo mgum..kwa upande kwangu hiyo itatosha sana coz nitakuwa sijaonyesha impact yangu ...mpka nionyeshe impact ndo mambo yatakuwa mazuri ...
 
Unapokua na shida, kichwa hakifanyi kazi vizuri. Huwezi kutoboa na 300k
300K unatoboa tena kirahisi kabisa unless uamue kuishi, kama umenielewa ukiamua kuishi hata 900K inaweza isitoshe ila kama umeamua kufanya kitu 300K una save fresh.
 
Kama unafundisha history kuna shule ipo bagamoyo wanataka mwalimu kabla ya kufunguliwa shule mana aliekuwepo ameondoka.
 
Nitumie pm namba yako ya simu takuunganisha na academic wa pale shule
 
Kuna mmoja kaandika uwalim
mwengine kaandika natafta
ndio walimu wetu hao dah!
 
Kuna mmoja kaandika uwalim
mwengine kaandika natafta
ndio walimu wetu hao dah!
Tatizo nini mkuu? Ndio kusema hujaelewa wanachohitaji wahusika?....Wengi wenye PHD,PROF. nk hukosea Maandishi na hata matamshi,Acha ujuaji na saidia kama liko ndani ya uwezo wako
 
Kweli mkuu!kuna watu wanajifanya kama wao hawakoseagi...we are human being so there is imperfection can happen...
Tatizo nini mkuu? Ndio kusema hujaelewa wanachohitaji wahusika?....Wengi wenye PHD,PROF. nk hukosea Maandishi na hata matamshi,Acha ujuaji na saidia kama liko ndani ya uwezo wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…