Hp Probook NAUZA core i5

Hp Probook NAUZA core i5

Mgawe777

Member
Joined
Oct 28, 2017
Posts
17
Reaction score
6
HDD 500
RAM 4GB
Vyuma vimebana naisukuma kwa bei nafuu tu shilingi 400,000/= kama unahitaji ni pm
 
Attachments

  • DSC_0008.JPG
    DSC_0008.JPG
    23.4 KB · Views: 42
  • DSC_0009.JPG
    DSC_0009.JPG
    36.8 KB · Views: 36
Inakaa na charge muda gani kwa kuangalia movies
 
Kanunue mpya dukani mzee mpenda muvi
Kipimo cha graphics power consumption ni pamoja na ku play movie.

Ukitangaza biashara tegemea wateja waitathimini kabla ya kuinunua, hawakejeli bali wanautumia vizuri mwaliko wako kujadili mustakabali wa ulichokiweka kwenye showcase.

Laptops nowadays zinakaa na charge mpaka masaa nane ndio maana masaa mawili nikakwambia term it a desktop.
 
Kijana kwa bei hiyo na uchakavu wa sehemu ya mouse mbona haviendani na bei yako km zimeenda sana punguza kidogo na ss tujaribu kununua kama tutaweza
 
Kipimo cha graphics power consumption ni pamoja na ku play movie.

Ukitangaza biashara tegemea wateja waitathimini kabla ya kuinunua, hawakejeli bali wanautumia vizuri mwaliko wako kujadili mustakabali wa ulichokiweka kwenye showcase.

Laptops nowadays zinakaa na charge mpaka masaa nane ndio maana masaa mawili nikakwambia term it a desktop.
Za masaa nane ndo zipo shop sasa mpya nami nazijua mbona kijana
 
Za masaa nane ndo zipo shop sasa mpya nami nazijua mbona kijana
Jiulize sababu za kubandika spec. za laptop i.e co i5 N.k
ubora wa battery una add value ya biashara yako.
Kinyume na hivyo tafuta jalala kaitupe maana ni uchafu saa hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom