SECRET AGENT JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 254 Reaction score 499 Apr 5, 2021 #1 Wakuu Naomba Msaada wa kuipata housing ya Hii laptop HP Notebook ilianguka ikaharibika upande mmoja na pia keyboard baadhi ya button hazifunction. Kama Kuna mtu anaweza kuwa na housing yake nzurii tuongee
Wakuu Naomba Msaada wa kuipata housing ya Hii laptop HP Notebook ilianguka ikaharibika upande mmoja na pia keyboard baadhi ya button hazifunction. Kama Kuna mtu anaweza kuwa na housing yake nzurii tuongee