Hp elitebook 8460p inauzwa

Hp elitebook 8460p inauzwa

GIUSEPE

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
209
Reaction score
80
HDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani pm
IMG_20170412_144111.jpg
. Bado ipo wakuu,nimeshusha,350 K,tunaweza kuelewana kuhusu bei.Nipo Mbeya
 
HDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani pm
Mkuu khaki ya uchumi ngumu ...chukua 250k
 
HDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani pm
mkuu processor ni core i ngapi i.e i3,i5,i7 nipe majibu
 
MKUU kama haina shida ya betri etc bei yako ni resonable sana watakuja wenyeshida kaka
Haina shida ya Betri mkuu,iko vizuri. Naiuza kwa sababu ya shida ya dharula( kwa shingo upande) Ningependa sana kubaki nayo.
 
350 kama uko poa nicheki inbox kesho niichukue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom