Hp elitebook 2760p core i3

Jiwe kuu001

Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
50
Reaction score
25
Wakubwa hongereni kwa Ujenzi wa Taifa letu pendwa [emoji1241]

Wakubwa naomba kufaham kwa wenye ujuzi wa haya Maswala ya Computer naomba kufaham ubora wa Hii PC Aina ya Hp elitebook 2760

Core i3
CPU 2.03
RAm 4Gb
HDD 500GB

Natanguliza shukran Kwenu[emoji120]
 
Wakubwa hongereni kwa Ujenzi wa Taifa letu pendwa [emoji1241]

Wakubwa naomba kufaham kwa wenye ujuzi wa haya Maswala ya Computer naomba kufaham ubora wa Hii PC Aina ya Hp elitebook 2760....
Hiyo pc haitaki longolongo(mambo mengi).
Kwa matumizi ya kawaida go and buy it.

Lakini sio heavy works.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…