Python Newbie
Member
- Jul 17, 2017
- 77
- 50
18 inches....sema zinatofautiana maumboHizo monitor ni ukubwa gani?
Take your time kusoma vizuri post yangumbona hujaweka specification?Unafikiri kuna mtu atanunua bila kuona specification?!
Ipo chini sana hiyo kiongozi...Chukua 200
Ipo chini sana hiyo kiongozi...
Kwa bei hiyo natoa pia warranty ya mwaka mzimaChukua 200
Pamoja sanaPamoja kaka mkubwa
Nipo dar es salaam, Tegeta kwa Ndevu