baracker electronics
Member
- Jun 15, 2019
- 18
- 3
Dodoma hatutumii vitu vya namna hii, tunapiga na kurecord kwenye VCD, DVD, TF card, Memory za aina zoteUzia wagogo wenzio huko Dom. Iyo pC inaonekana ni ya mwaka 2002. Haiwezekani Desktop ya leo ikawa na Drive ya Floppy Disk/ Diskatte.
Hiyo Kko ni 120,000/=
50,000 mkuuBei ni 500GB umemaanisha nini mpendwa?
angalia vizuri ni elfu Hamsini Mkuu niifuate au 500,000/ Laki 5?50,000 mkuu
Hard disk ya laptopangalia vizuri ni elfu Hamsini Mkuu niifuate au 500,000/ Laki 5?
maana hard disk yake zaidi ya 50,000/