Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
umebamba hapo mkuu nami nimo hapo,nadhan tupo weng hata we mleta uzi
Madame X sasa mapenzi ya siri si ndo yanawafaa nyie wenye aibu? Comment badala ya kuirusha mbele za watu kwenye wall inapiga inbox- exclusive kwa mpenzi tu! Lol. Na mimi naamini ni muhimu sana kuingia kwenye penzi jipya kimyakimya, likishachanganya na ukamuamini mtu ndo fullu kujiachia. Manake unaweza kujishaua kwa matangazo afu kumbe mtu mwenyewe player, akila mara moja mara mbili anapiga chini unabaki unachekwa, bora kimya kimya hata ukibwagwa inakua siri yako unaugulia kimyakimya!In short usikubali mapenzi ya siri.....
Sikuiandika mimi mkulu ila mwandishi kwakweli amepiga ikulu haswa!Mkuu mbona tunavuana nguo hadharani tena?!!!
Madame X sasa mapenzi ya siri si ndo yanawafaa nyie wenye aibu? Comment badala ya kuirusha mbele za watu kwenye wall inapiga inbox- exclusive kwa mpenzi tu! Lol. Na mimi naamini ni muhimu sana kuingia kwenye penzi jipya kimyakimya, likishachanganya na ukamuamini mtu ndo fullu kujiachia. Manake unaweza kujishaua kwa matangazo afu kumbe mtu mwenyewe player, akila mara moja mara mbili anapiga chini unabaki unachekwa, bora kimya kimya hata ukibwagwa inakua siri yako unaugulia kimyakimya!