how to restor modem firmware?

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
972
Reaction score
441
Msaada ndugu zangu nilikuwa na unloack zte mf190 kwa bahati mbaya nikafuta dashboad ya airtel ndipo nikaamua nii update firmware lakini baada ya ku update likaja tatizo kwani dashboad ilikuja ya movistar lakini haidetect lain yoyote na niki scan kwa dc-unloacker haidetect na ikidetect inaandika invald sim nilikuwa nauliza kama kuna njia yoyote ya kurestore au kuna firmware nyingine inayo detect naombeni mnisaidie
 
mkuu namba yangu uliipata?

kama upo fb mcheki mhindi fulani anaitwa jigar patel atakupa msaada
 
mkuu namba yangu uliipata?

kama upo fb mcheki mhindi fulani anaitwa jigar patel atakupa msaada

Ndio namba yako nimeipata na ndio jana nilikupigia tukaongea kuhusu nokia lumia 610 kutodetect kwenye pc nikitumia usb cable

ok ngoja nimcheki uyo muindi alafu nitakupa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…