nimekua ikitumia AdAway app kwa muda sasa naweza sema ni best and simple ni click moja tu na ku-reboot simu ads zote kushney then unakua una update host files tu.
nime i-attach hapa muijaribu.
mie na avoid kuwa na apps nyiiingi nisizozitumia mara kwa mara. hii inanisaidia kuichezea simu nipendavyo. nimeondoa most of default apps kama music player nikareplace na nnazozipenda mfano music player nimeweka jetaudio pro. na apps zingine.... hapa hata ukifactory reset zinabaki app zangu nilizoziweka