ads are there for free apps, that means free of use but not free of charge, therefore u must pay smthg directly or indirectly (viewing ads), if u want to stop/remove them then buy full version apps..
actually njia ya huyu bwana inablock server inayoleta matangazo kwa iyo hizo free apps zinakuwa hazina ada.
too bad mimi sina free apps. ngoja nidownload moja kujiridhisha
kama unajua torrents kwa kutumia pc, nenda piratesbay kuna software full version ambazo zinauzwa play store h na crack zake but nyingi ni za android.. u can get rid of ads easly,, me software zangu zote za cm yangu natolea hapo play sore nachukua zile free peke yake
simu yangu ina apps pro version karibia zote ila zipo baadhi ambazo ni useful zipo play store ambazo zina ads.
kama hujui apps ambazo ziko cracked baadhi zina malicious code wewe unajiwekea tu ilimradi ni full version. unafikiri wao wajinga wakupe full version for free.? when the deal is too sweet think twice
hey u did not understand, au hujui maana ya torrents, simply ni world sharing kwetu seeders kwa hiyo hizo software ni genuine na ni full version wamezinunua wachache then wamezi upload kwenye mtandao, na wengine ni ma engineers wana crack then wanarusha tu watu adownload bure,,, kama ambavyo wewe una movies na misic files kbao kwenye cm au pc yako bure kabisa lakini ulitakiwa kuzinunua, na kwa software ni vivyo hivyo.. ukiiingia piratebay ambayo me natumia utakuta zipo kibao na nimezijaribu and they are working fresh kabisa,,, angalia hapa mfano wa ofice za android zipo kibao una download unayotaka una save kwa cm yako then tumia installer .......
btw Mwl.RCT nimegundua kwenye simu tayari kuna file la host ambalo limekuja na custom rom niliyoweka. unataka niliweke hapa au hilo lako linatosha?
Mwenyewe nimekuta file host tayari nikajaribu kurename lilopo to host.bak kitu ikafail
- Mkuu angalia hatua ya Tano (5), Lile lililopo just rename/ delete/ edit
- Lengo ni kuweka / kuwa na hiyo new "hosts" yenye kuweza ku block hizo adds.
huwezi kurename mpaka uchange permission to r/w kutoka r/o maana ilo ni system file ndio utaweza kurename
tumia root explorer kama huna hii app ndio mahususi kwa kazi kama hizi
ambalo lipo kwny simu yangu limekuja na custom rom niliyoitoa xda na lina website nyingi kuliko hizi za hili uliloweka hapa ndio maana nikataka kulishea hilo pia
If you want to replace it, the easiest way to do so is to download the file using a computera good one to use ishttp://www.malwaredomainlist.com/hostslist/hosts.txt, which will block access to many sites known to be hosting malwarerename the file to hosts with no extension, write it to your SD card (either by putting the SD card into a PC, or by plugging the device into a USB port), then use a file manager such as ES File Explorer to copy the downloaded file over /system/etc/hosts. Source
kijana acha ubishi... sijaanza kutumia pirated software jana. hao wanaocrack sometimes wana add vitu ndio maana watengenezaji wanakataza matumizi ya pirated software. unatumia at ur own risk. kifaa chako kikiharibika kwa matumizi ya hizo software huna wa kumlilia...
anyways probably umeanza majuzi hivi vitu polepole utafika....
nimekua ikitumia AdAway app kwa muda sasa naweza sema ni best and simple ni click moja tu na ku-reboot simu ads zote kushney then unakua una update host files tu.
nime i-attach hapa muijaribu.