loh ndio shida yetu waafrica badala ya kuwajali wake zetu na kuwafanya nao kama watu sijui twaonaje,even to help ni kitu kigumu n jamii yetu yachukulia kivingine pindi jianamume likiwa lamsaidia mkewe!!!
ukionekana wafua or wapiga deki or watevera hata mara moja kwa mwezi if not week utasikia flani kalishwa limbwata
flani kakaliwa ohh kawekwa kiganjani hahemi hasemi