nina video zangu nimetupia kwenye youtube na zina waangaliaji wengi ila sielewi jinsi ya kuomba na kupata adsense kwa youtube video ... naomba msaada wenu
Ingia kwenye kuedit video zako, utakuta sehemu ya monetization. Enable monetization. Utatakiwa kuwa na adsense account ambayo utailink na youtube channel yako.