Yaani wanawake wanamambo mengi wanajifanya km unga wa ngano kila kitu kinatoka chapati,maandazi,bagia, baga, mkate wa ufuta, mkate wa mayai,uji sjui nn na nn mm hapo naona km ntashindwa yote hayo
Yaani wanawake wanamambo mengi wanajifanya km unga wa ngano kila kitu kinatoka chapati,maandazi,bagia, baga, mkate wa ufuta, mkate wa mayai,uji sjui nn na nn mm hapo naona km ntashindwa yote hayo
Jiulize watu na pesa zao lkn wanagongewa! We vipi, kagongewa Jay - Z! Wanawake ni kweli wanataka pesa lkn km utajisahau vitu vidogo vidogo, watu ndo wanapitia humo. Kuna watu hawana shughuli za kufanya, wanafanya hayo yote yaliyo orodheshwa hapo juu na wake zenu wanachukua pesa zenu wanapeleka huko.