How to have her Attention???

Wewe acha kuwasiliana nae usimtafute tena nakwambia ukikaa kimya atakitafuta weww na ukiona hajakutafuta hakupendi so chapa lapa
 
Wakuu nimewaelewa sana sana sana nitajitahidi nijaribu kukaa mby naye kama nikiweza mm mwenyewe nitafrahi sna ingawa nishajaribu nikashindwa then lemme try again, coz siwezi jua kwann ananifanyia hivi mm nimeshindwa kumwelewa. Lkn wakuu kama angekuwa hanipendee at all si asingekuwa anajibu hata txt zangu basi wala mazoea na mm angekataa ila ukimweta anakuja ukimtxt anajb tuu yani haelewekee. Kweli kupenda imekuwa weakness kubwana sana kwangu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Astagafilullahh!!!!! Acha kutudhalilisha wanaume:angry::angry:
Hebu nicheck PM
 
Wewe acha kuwasiliana nae usimtafute tena nakwambia ukikaa kimya atakitafuta weww na ukiona hajakutafuta hakupendi so chapa lapa
Mi nakubaliana na wewe, ukimchunia siku tatu tu utasikia tu jamabi viipi unaumwa... mbona kimya! Change your strategy, you are too pedictable. Yaani huyo kashajua asubuhi gmorning ipo, mchana umekula baby lol (sijazipataga hizi skunyingi miee), jioni mzee umo, bado nini... kadi ya atm
 
kumpenda sana ndiyo kufanyaje?ebu elezea kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…