How to get twins pregnancy?

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,934
1,400
Jamani nina hamu sana ya kupata watoto mapacha, ni jinsi gani na wakati gani "nikifanya" naweza kupata watoto mapacha? Naomba sana wadau/wataalamu mtujuze juu ya hili.
 
Je wewe ni she or he? kama ni she je una mume halali? ukinijibu hilo nitakupa jibu na hasa kama utani PM
 
Jamani nina hamu sana ya kupata watoto mapacha, ni jinsi gani na wakati gani "nikifanya" naweza kupata watoto mapacha? Naomba sana wadau/wataalamu mtujuze juu ya hili.
Sina uhakika sana ila ninavyojua ni ishu ya kurithi, kama katika ukoo wenu au ukoo wa mkeo/mumeo kuliwahi au kuna mapacha basi uwezekano wa wewe kupata mapacha ni mkubwa...... Tusubiri wataalamu zaidi!
 
Mkuu kwanza kabisa inabidi tufahamu twins wanavyopatikana.., na ni mwanamke ndio anao uwezo wa kufanikisha hili jambo kwa yao moja kugawanyika (identical twins) au zaidi ya yai moja kushuka (mapacha wasiofanana).., hivyo basi kuna mambo yanayoweza kufanyika kuongeza chance ya hili kutokea ingawa sio definite angalia hapo chini:-

 
Thank you dear friends for the advice, i will try to do so
 
ahsante mkaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…