Haiwezekani unachotaka kufanya, kazi ya Jailbreak ni kukuwezesha kuinstall apps nje ya App Store ya Apple, kwa kuwa Cydia haipo AppStore basi haiwezekani kuiinstall bila Jailbreak.
So ni utafute mbinu nyingine ya kujailbreak au usubiri mpaka watu wafigure out how to jailbreak Ipad 2 na iOS version hiyo.
Inawezekana..Tumia iTools au fungua safari andika pale kwenye address bar
????? - iPhone,iPad,iTouch ???????ipa???????,???????iPhone5?iPhone4S,??iOS6.1????..apps zote za kulipia utapata zote free ndo naitumia..jst try it!!!lakini inaandika kichina but icons ndo itaku-guide
Inawezekana..Tumia iTools au fungua safari andika pale kwenye address bar
????? - iPhone,iPad,iTouch ???????ipa???????,???????iPhone5?iPhone4S,??iOS6.1????..apps zote za kulipia utapata zote free ndo naitumia..jst try it!!!lakini inaandika kichina but icons ndo itaku-guide
mkuu vipi umefanikiwa kudownload cydia au whatsapp?mkuu msaada hapo kwenye tuta, nimejaribu kudownload some apps kwenye iyo adres ya kichina uliyopost kwenye kuzifungua inaniomba apple user name na password nikiziweka zinagoma kufunguka why?
Wakuu poleni na mihangaiko ya Maisha....... Naombeni Masada wenu Nina Ipad 2 Ina run iOS 7.0.6 naitaji kuinstall cydia bila kujailbreak, mwenye program au mbinu ya kufanya naombeni mnisaidie malengo yangu ni kuinstall whatsapp na IPA kuweza kupiga cm na kupokea SMS . NASHINDWA KUJAILBREAK KWA SABABU NIKISOMA KWENYE MTANDAO INAONESHA EVANSION7 ya kujailbreak haiko compatible KWA ipad 2. Na IPA Kama yupo mtu alie fanikiwa naombeni maujanja please NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
Hiyo evasion7 inakubali vizuri kwa windows 7na windows8 , me najailbreak kwa hiyo evasion 7 iko poa ,, may be pc yako huja update net framework, jaribu ku update hicho ki utility programme .. pia watsap kwenye cydia imenigomea, nimepata viber... cydia software zake nyingi currently ni za ios 6 .. ! try that ikifail ntarudi sa hivi nipo safarini ningekuwekea kila kitu