Wadau natumaini mpo powa pande hizi
Pc yangu windows7 inabidi ni pige chini windows na kuweka upya, sasa tatizo langu nina vimeo vyangu viwili Old school BB curve 8310 na Iphone 3g nimefanya backup kwenye hii pc
Swali nitafanyaje baada ya ku irudishia niweze kupata data zangu zote ikiwemo apps, books,music,contact etc
Naomba ushauri wenu wadau