kama browser yako inanesanesa na kuchelewa nenda kaguugli ,utaweza kupata maelezo ya kina ,na utaona furaha ni kwa jinsi gani broza yako inakata mbuga.
kwenye firefox address bar type about:config halafu unapress go patafunguka kitu na vitisho usihogope ingia ndani ukishafungua andika kwenye search pipelining pataandikika chini yake mistari kama kumi.
Huu ni wa juu utadouble false itakuja True
network.http.pipelining;false
halafu mistari miwili ya mwisho utaidabo click false itakuja true ,
halafu utaenda mstari wa tano utaidabo click 32 weka nane
network.http.pipelining.maxrequests;32
Kisha ifunge firefox na ifungue tena ,utashangaa hapo kwenye 32 pia unaweza kuweka 100 ila kuna njia itakayokufanya uweke 100 hapo ni mwendo wa umeme wanasema light travel fasterfaster/ Enjoy.