Salam wakuu,
Habari za jioni? leo niliingia kwenye google playstore nikitaka kudownload game ya Modern Combat 5, lakini it was such a nuisance baada ya playstore kuniambia kwamba version ya hili game siwezi kuishusha kwenye simu yangu. baada ya kuhangaika huku na kule, nilipata solution ambayo nimeona nifanye sharing hapa japo sina hakika kama tayari kuna wakuu walishawahi kuanzisha thread kama hii.
Ok, hapa cha kwanza kabisa cha kufanya ni kudownload kutoka playstore app inaitwa Build Prop Editor, then your device must be rooted (have root access). Kwa wale ambao device zao hazipo rooted, kuna ka app kadogo kama framaroot ambacho kanakufanyia kazi yote you dont have to sweat on it.
Then baada ya kuinstall build prop editor, utaifungua then utaigrant super user access, baada ya kufunguka cha kwanza kabisa ni kufanya backup ya original build prop yako ili incase ya anything uweze kufanya recovery baadae.
baada ya hapo unaenda kwenye edit then utafanya yafuatayo:
edit kwenye ro.product.model=(hapa kuna device name yako, utachange nakuandika GT-I9100)
same issue kwenye ro.product.brand=(Utaandika Samsung, starting with capital S), then ro.product.name=(GT-I9100), ro.product.device=(GT-I9100), ro.product.board=(GT-I9100). bAADA ya hapo utasave (usiedit sehemu nyingine yoyote).
Baada ya hapo, reboot device yako then nenda tena kwenye playstore usearch game au app iliyokua inakwambia incompatible with this device uone. voilaaa!