How to enable java while using voda free internet!?

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
634
Reaction score
458
Wadau nikitumia proxies za voda free internet kuna websites zenye streaming za video zinagoma ku-play na kuniambia up-date your flash player or enable java. Ila zote zinakuwa updated na enabled nikitumia internet ya bundle!
Ni njia gani naweza kutumia ili ni-watch videos zaidi ya youtube!?
Nawakilisha
 
ngoja wakali wa aya mambo waje hapa na mm ni tatizo kwangu
 
na nina subiri mana kwangu nako java inasingua
 
check sehemu za options za hyo proxy unai2mia baada ya kuandika 0.facebook.com na kunazingine baada ya kufungua page... Huwa kuna option mbali mbali kama enable cookies, encrypt page , encrypt URL and Remove scripts..... Depending na proxy hakikisha ile sehemu ya Remove script iko unmarked then openi tena hyo page unayotaka istream video. Hapo utakuwa umeenable. hyo ni kwa Youtube appart 4rm that sidhani kama inawezekana kwa hzo site zingine.
 
wakati mnashughulikia hilo namimi naomba mnioelekeze namna ya kupata hiyo free internet in details coz nimejaribu kufanya settings hizo lakin inakataa kufungua. nimefika mpaka hatua naona proximitron defaults kwa down ila mzigo unakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…