32bit ni processor ya computer, kwa hiyo kama unataka 64bit then ununue mashine nyingine ambayo processor yake ni 64bit.
Unaweza install 32bit OS kwenye mashine ambayo ni 64bit, lakini huwezi install 64bit OS kwenye mashine ambayo ni 32bit.. Kwa hiyo ili kujua kama processor yako initially ni 32/64bit chukua jina la hiyo processor itupie google utapata majibu. Kama ni 32bit then sahau, there's nothing u can do, kama ni 64bit then fanya kama ulivosema, install 64bit operating system kwenye hiyo mashine.
Hiyo inaonyesha idadi ya data kwenye njia inayosafirishwa kutoka sehemu moja hadi nyingine kwenye mashine. Namba kubwa ndo data nyingi zaidi kwa wakati mmoja. Hufananishwa na barabara inayopitisha magari mawili kwenda upande mmoja, tungeiita 2 bit road.