G GeeM JF-Expert Member Joined Apr 11, 2014 Posts 1,897 Reaction score 1,328 Sep 18, 2016 #41 Mudawote said: Mh. Mbowe ni muongo wa karne. Hivi alivyosema ni siasa alitaka aonewe huruma?? Je anataka wananchi waandamane kwa ajili ya hotel? Click to expand... Nadhani tungojee Uamuzi wa mahakama kujua nani mwongo
Mudawote said: Mh. Mbowe ni muongo wa karne. Hivi alivyosema ni siasa alitaka aonewe huruma?? Je anataka wananchi waandamane kwa ajili ya hotel? Click to expand... Nadhani tungojee Uamuzi wa mahakama kujua nani mwongo
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,755 Sep 18, 2016 #42 mikeimani said: Dah, mkuu ni madogo kudaiwa? Click to expand... ni madogo kwasababu kesi za madai hazina hukumu ya kunyongwa mpaka kufa kama ile ya afande bageni.kiufupi kwenda jela kwa kesi ya madai kwa mahakama za kibongo ni kujitakia.
mikeimani said: Dah, mkuu ni madogo kudaiwa? Click to expand... ni madogo kwasababu kesi za madai hazina hukumu ya kunyongwa mpaka kufa kama ile ya afande bageni.kiufupi kwenda jela kwa kesi ya madai kwa mahakama za kibongo ni kujitakia.