Inawezekana Wazungu walimpa Mandela too much respect na kumnyenyekea ili na yeye alainike kwenye baadhi ya core issues.. National reconciliation ni moja kati ya issue ambayo bado inawasumbua blacks.. Ila nao blacks wamekuwa wavivu sana.. hawajitumi na wanataka wapendelewe.. Mwisho wake wengi wao wamehamisha chuki zao kwa foreigners ambao wanajituma kwa bidii..
Kwa sababu gani unabisha mkuu?
I always suspected that.
Scientifically speaking, experiences zako zilizokuwa stored kichwani kwako ndio zinajenga personality yako na jinsi ulivyo na fikra zako zinajengwa kuanzia hapo. Pengine we are just paranoid lakini huezi uka-eliminate huu uwezekano kwa asilimia 100.
Mandela age na kufungwa kulimpa wisdom
ambayo ni nadra watu wengine kuipata
angewanyang'anya makaburu mwisho wake nchi inge colapse
Tazama Zimbabwe walikuwa wanauza vyakula nje
baada ya mashamba kupewa waswahili sasa ni full njaa
kumbuka Nyerere alivyo nationalise na nchi ikapungua uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 60
mashamba ya mkonge hadi tumeyauza tena
Nationalisation ni suicide....sio kwamba yuko conrolled
Jiulize kwa nini huwaoni Wa South wakienda kubeba box ulaya au marekani
na tena hawana visa?
Jibu ni kuwa wanaishi better kuliko waafrica nyingine
na uchumi umejengwa na wazungu
huwezi kubadili hivyo kienyeji......nchi ita colapse
U re right lakini inafikiriwa kuwa angweza kufanya something smarter na kama ulivyosema alikuwa na wisdom.Nafikiri kuwa wisdom inakuja kwa kuona, kusikia kusoma na hata kutembea . Sasa hawa jamaa walimnyima vitu fritfull katika ambavyo vingemsaisaidia kujinoa.
hilo la kubeba box naona hawa jamaa hawajawa na ile power ya kutoka kwao,maana kutoka nje ya nchi mara nyingi sababu ni za elimu.
Kama wanaishi vizuri kwann kuna crime ya kumwaga SA?
Kweli kabisa, maana mwanzoni kwene kifungo, yeye mwenyewe alikiri kwamba death was the possibility, na alijiandaa kwa hilo..mpaka kufikia kubatilishwa na kupata kifungo cha maisha, kisaikolojia aliona kama kafanyiwa feva, hiyo ni kibinadamu, na kibinadamu pengine alihisi deni la kusamehe.If u control inputs to a man's mind in this information age u automatically control outputs......ndicho kilichomtokea Babu yetu,hata hivyo amejitahidi sana,remember he is not a golden coin.
Jamaa alikua 'choc ice'.. hahaa..Tunatafuta mchawi sana wakati mostly mchawi wetu ni sisi wenyewe.
Kweli kabisa, maana mwanzoni kwene kifungo, yeye mwenyewe alikiri kwamba death was the possibility, na alijiandaa kwa hilo..mpaka kufikia kubatilishwa na kupata kifungo cha maisha, kisaikolojia aliona kama kafanyiwa feva, hiyo ni kibinadamu, na kibinadamu pengine alihisi deni la kusamehe.
Suala la kiuchumi kweli kwamba alishindwa kuoanisha ushindi / uhuru wa kisiasa na ule kiuchumi. Mbeki alijitahidi kufanya affirmative action kwa weusi japo impact yake haijulikani.
Jamaa alikua 'choc ice'.. hahaa..
Evidence kwamba alishindwa ku-transform maisha ya weusi is open for everyone to see.
Pengine angekuwa rais wa pili mweusi isingetia doa sana, wakosoaji wanasema yeye ndo alishindwa kuwa baseline ya kuwakomboa waafrika, alishindwa ku-set tone ya kuwawezesha kiuchumi.
first impression ni muhimu.si rahisi kufanya kila kitu obviously.Hakuna alichoshindwa
Yeye alijipa jukumu la kusimamia 'transfer of power' peacefully
miaka minne asingeweza kufanya kila kitu
hilo halikuwa jukumu lake
na baada ya yeye kutoka hakuna anaewazuia wa South kufanya wanayoona ni sahihi now
upumbavu mtupu
FREEEDOM cHARTER ilikuwa based kwenye socialism na communism ideology
by the time Mandela anatoka prison hizo ideology zilisha fail dunia nzima
Mandela was smart no to embrace failed ideology...
otherwise nchi ingekuwa kama Zimbabwe
huyu alieandika humu ni extremist tu