bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,117 Feb 27, 2012 #22 How do u knw someone hate u ? Ukishajua utapata jibu kirahisi.
super thinker JF-Expert Member Nov 16, 2010 370 109 Feb 27, 2012 #24 Mada nzuri ila lingua cjui ni franccaaaaaaa??au kiinglish cha ki-iraq or ki-hadzabe
Fasouls JF-Expert Member Jun 24, 2011 939 316 Feb 27, 2012 #25 endapo utamwambia it's over alafu yeye aseme ntakufa na wewe au ama zako au zangu kama nilivyoambiwa
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,176 Feb 27, 2012 #26 ha ha ha umenitanua mbavu shambani Fasouls said: endapo utamwambia it's over alafu yeye aseme ntakufa na wewe au ama zako au zangu kama nilivyoambiwa Click to expand...
ha ha ha umenitanua mbavu shambani Fasouls said: endapo utamwambia it's over alafu yeye aseme ntakufa na wewe au ama zako au zangu kama nilivyoambiwa Click to expand...
Lucas JF-Expert Member Dec 3, 2011 2,457 1,108 Feb 27, 2012 #27 Kongosho said: labda anataka kupima altitude ya malove kutoka usawa wa moyo? Click to expand... kwamba ina increease kwa kiasi gani kila baada ya distance gani? hahahahah hah ha aahhaah lol
Kongosho said: labda anataka kupima altitude ya malove kutoka usawa wa moyo? Click to expand... kwamba ina increease kwa kiasi gani kila baada ya distance gani? hahahahah hah ha aahhaah lol
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Feb 27, 2012 #28 PakaJimmy said: Hii lugha tuacheni utani jamani...Ina wenyewe hii!....huh! Mimi ningekuwa wa aina yako ningeandika kiswahili, bora lawama kuliko fedheha. Click to expand... Kaka kuna thread aliianzisha Bishanga...hahahahaaa itakugusa kwa hapa...hebu tembelea CHIT CHAT uione yenye title "NINI KINAKUKERA JF?" Otherwise uko sawa
PakaJimmy said: Hii lugha tuacheni utani jamani...Ina wenyewe hii!....huh! Mimi ningekuwa wa aina yako ningeandika kiswahili, bora lawama kuliko fedheha. Click to expand... Kaka kuna thread aliianzisha Bishanga...hahahahaaa itakugusa kwa hapa...hebu tembelea CHIT CHAT uione yenye title "NINI KINAKUKERA JF?" Otherwise uko sawa
DASA JF-Expert Member Jan 6, 2011 1,031 301 Feb 27, 2012 #30 Jifunike naye shuka moja halafu toa kijambo cha uhakika ukimuona katoa pua yake nje tu basi ujue huyo hakupendi.
Jifunike naye shuka moja halafu toa kijambo cha uhakika ukimuona katoa pua yake nje tu basi ujue huyo hakupendi.