How China helped deposed President Mugabe

View attachment 634199 How China helped depose 'dozing despot' Mugabe (click)
Makamu wa Rais wa Mugabe aliyetimuliwa na Mkuu wa Majeshi walikwenda China kabla ya mipango ya kumwondoa Rais Mugabe na baada ya kushauriana na viongozi waandamizi wa China ndipo mipango ya kumwondoa Rais Mugabe ilifanyika. Serikali ya China ilitaka Rais Mugabe aondolewe madarakani bila vurugu zozote. China ndio mfadhili mkubwa wa nchi hiyo ya Zimbabwe mpaka sasa serikali ya China imeshatoa zaidi ya dola Bilioni 15 kwa ajili ya maendeleo ya Zimbabwe lakini sehemu kubwa za pesa hizo zimetoweka kwa njia ya ufisadi.
Baadhi ya miradi ni hiyo hapo juu iliyofadhiliwa na China
Umeme paundi milioni 900
Madini paundi milioni 200
Chuo cha Kijeshi paundi milioni 100
Ujenzi wa Bunge jipya paundi milioni 35
sources Daily mail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…