Vipi wakuu wa Tech? Nina Dell yangu android ilikuwa inakaribia kukata chaji nikazima internet kwenye settings ili ku save charge kidogo. Ikiwa mfukoni nguo ikawa inachorachora zile pattern kuji unlock. Kwas ababu zilikuwa wrong ikaji lock na sasa inataka niweke gmail na password ili niiunlock. Ila kumbuka nilizima internet, nawezaje kuunlock my phone hapo jamani