Housing ya hii simu imenivutia

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Sijui wapi naweza pata simu kama hiii, sijui ni ya kichina…?
 

Attachments

  • 1433617941945.jpg
    20.6 KB · Views: 1,609
Mimi Nimeipenda Hiyo Lenzi Yake Mbinuko.360MegaPixels!
 
Hebu ikuze picha kidogo na sie tuone vizuri jina la hiyo simu hapo
 
Nampatia kazi mshahara mnono... Aniendeshe kwenye bodaboda yangu... Naomba mawasiliano nae...
 
Nampatia kazi mshahara mnono... Aniendeshe kwenye bodaboda yangu... Naomba mawasiliano nae...

Hahahha. Mkuu, shida ni dereva tu…? Wapo wengi huyu mwingine anakufaaa……??
 

Attachments

  • 1435175880301.jpg
    45.5 KB · Views: 353
Hahahha. Mkuu, shida ni dereva tu…? Wapo wengi huyu mwingine anakufaaa……??

Mkuu utanchanganya... ngoja nihangaike na yule aliewahi... naona kakaa mkao wa udereva wa bodaboda zaidi... anakususia ujisevie huku safari ikiendelea...
 
Mkuu utanchanganya... ngoja nihangaike na yule aliewahi... naona kakaa mkao wa udereva wa bodaboda zaidi... anakususia ujisevie huku safari ikiendelea...

Usidate mkuu, ukion hana vigezo chagua kwenye menu hii
 

Attachments

  • 1435176604226.jpg
    37.1 KB · Views: 326
Hiyo ya njano ni sahani au sufuria....???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…