House for sale

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Date listed 13/11/2017
DESCRIPTIONS:

Wakuu nimeamua kufanya edit kidogo kwenye tangazo hili.

Bei imepungua kidogo

N.b nyumba ni ya kisasa kabisa na ni finished.
Nawakaribisha wote wahitaji

Locations: kitunda

Specifications : three bedrooms, sitting room, dinning room, public toilets and store.
Facilities available: plenty water supply, electricity, maintained road and it's fenced!
Distance : 5km from Banana
Plot size: square meter 1600 (40m*40m)



 
Unajua kufanya biashara, bei umeweka (nzuri has a ukizingatia ni negotiable), picha za kutosha, ukubwa wa kiwanja, eneo/location nk, vitu vichache tu kama mgawanyiko wa ndani ya nyumba ndio hukugusia, so far so good
 
Nimeshindwa kupita kimya.
Mjengo uko vizuri sana.

NB. Hiyo ni kwa levo yangu
 
Unajua kufanya biashara, bei umeweka (nzuri has a ukizingatia ni negotiable), picha za kutosha, ukubwa wa kiwanja, eneo/location nk, vitu vichache tu kama mgawanyiko wa ndani ya nyumba ndio hukugusia, so far so good
Thanks for your appreciation mkuu!
But nadhan kwa upande wa structure ya ndani si tatizo mathalani general views imeonekana
If mtu akiwa interested kuona/kuiangalia ni ruksa.
 
Mkuu si ungepiga tu mnada unapiga mpunga mrefu zaidi!? Au kwakuwa man of the match bado yupo central?
Haina haraka ndio maana mkuu!
Mnada ukiwa na urgently needs/issues ndio wengi hutumia kupata mteja on spot.
 
wauzie bank...fanya kama unachukua mkopo wa mil.60 afu achana nao. watatafuta mteja wao
 
Aisee nyumba nzuri Na bei ya kawaida kabisa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…