Located at Kimara Temboni about a kilometer from Morogoro Road. 4 bedrooms ( one ensuite), sitting room, dinning room, kitchen, store, plot size 2125 sqm, fenced, It has a clean tittle deed. Price Tshs 175mil
wao sasa na Masaki itakuwaje? kiwanja kamara 2000sq meter 25 milion, kujenga 50 milion! total 75 miliion haya ni mahesabu tu ya haraka haraka. jamaa yangu kajenga nyumba kwa garama hiyo! wabeba mabox mupo? huku watu hatuna hela bwana!
hakujenga exacly the same house but he built nicer than this ha ha aDada Lily huyo jamaa yako alijenga exactly the same house kwa 50m? Kama nyumba ziko tofauti muache Kitomai auze kutokana na gharama alizoingia
Mbona picha kuanzia ya 11 hadi mwisho zinafanana na Apartment hii? Au ndio mambo ya mbuzi kwenye gunia nini? Just an observation. Maana nina kampango ka kutafuta kaeneo nyumbani ndio nimekutana na hayo.