Hafidhibrahim
Senior Member
- Nov 4, 2014
- 142
- 32
Nahisi Ana maanisha hiyo nyumba inafanana na nursery school....hii ndiyo jf mdauKwan nimeandika nursery school ndg
Kwake yeye ni nyumba.Hizi picha Ni nyumba mbili tofauti au Ni hiyo hiyo...maana hiyo yenye mtoto Apo nje Kama banda la uani vile (sorry, no offense)
Mbona hujaweka bei?Habar. Nyumba inauzwa ipo maeneo ya chuo kikuu mliman. Nyumba ina vyumba vnne kimoja master na chumba cha stoo na pia kuna eneo kubwa limebak kiwanja kina ukubwa wa miguu 75*35. Mawasiliano au picha whatsup 0713844841. AhsantenView attachment 403132View attachment 403133
hii uku ndio nyumba na uku uwanja uliobak nyumba mbiliHizi picha Ni nyumba mbili tofauti au Ni hiyo hiyo...maana hiyo yenye mtoto Apo nje Kama banda la uani vile (sorry, no offense)
Sor sio nyumba mbil nimekosea kdghii uku ndio nyumba na uku uwanja uliobak nyumba mbili
Nichek kaka kwa maelezo zaid na kujua beiMbona hujaweka bei?
Basi haina haja kusema kuwa unauza na picha umeweka,bei inakushinda nini kuweka hapa?Nichek kaka kwa maelezo zaid na kujua bei
Kwake yeye ni nyumba.
Kwa nini mnamkatisha moyo.
Ungekuwa wewe ungejisikiaje.
Sio vizuri
Utanunua kitu bila kujua bei na pia kama umeweza kuweka picha pamoja na location yake unashindwa nini kuweka bei?Naomba ufafanuzi mwenye kujua,hivi mbona matangazo mengi humu JF ya nyumba,viwanja mtu akiweka ni lazima abembelezwe kuweka bei,ni utamaduni wa humu JF au ni tabia za watu zinafanana inapofikia swala la kutangaza biashara yake?
Ahahah apana ndugu...kwa hizo bei una mganga Kwa Msisi?
.....inabidi utafute mmoja ukajipike;mteja akifika asichomoe!Ahahah apana ndugu
Kwel hatar ndg nkapikwe tena.....inabidi utafute mmoja ukajipike;mteja akifika asichomoe!
...
..teh hee hee..umetaka ubondia waogopa ngumi za uso?Kwel hatar ndg nkapikwe tena