Bosspraise Senior Member Joined Feb 10, 2020 Posts 134 Reaction score 124 Aug 23, 2025 #1 Nyumba nzuri ya kisasa Ipo nyumba ya ubungo plaza ubungo mtaa wa Lego NHC Ipo ndani ya geti na nafasi kubwa ya parking Nyuma na mbele Ina vyumba Viwili kimoja master bedroom Sebule kubwa Jiko Choo cha public Ac master bedroom na sebule Mfumo wa maji taka umeunganishwa baharini moja Kwa moja Kuna maji ya dawasco na kisima Kwa hiyo haupati shida ya maji Vyoo vya njee vipo Pavings uwanja mzima Nyumba ipi karibu na kanisa la EAGT ubungo nyumba ya ubungo plaza na karibu na stendi ya zamani ya ubungo Nyumba hii inauzwa millions 150 Tu Maongezi yapo Karibu Your browser is not able to display this video.
Nyumba nzuri ya kisasa Ipo nyumba ya ubungo plaza ubungo mtaa wa Lego NHC Ipo ndani ya geti na nafasi kubwa ya parking Nyuma na mbele Ina vyumba Viwili kimoja master bedroom Sebule kubwa Jiko Choo cha public Ac master bedroom na sebule Mfumo wa maji taka umeunganishwa baharini moja Kwa moja Kuna maji ya dawasco na kisima Kwa hiyo haupati shida ya maji Vyoo vya njee vipo Pavings uwanja mzima Nyumba ipi karibu na kanisa la EAGT ubungo nyumba ya ubungo plaza na karibu na stendi ya zamani ya ubungo Nyumba hii inauzwa millions 150 Tu Maongezi yapo Karibu Your browser is not able to display this video.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,444 Aug 23, 2025 #2 Mungu nifundishe kunyamaza
THOMASS SANKARA JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,066 Reaction score 4,775 Aug 23, 2025 #3 kwa hizo kelele za walokole utatoboa kweli hapo??? Ukiondoa hicho kipengele basi bei ni reasonable kabisa ila kelele sasa🤣🤣🤣🤣
kwa hizo kelele za walokole utatoboa kweli hapo??? Ukiondoa hicho kipengele basi bei ni reasonable kabisa ila kelele sasa🤣🤣🤣🤣