House for sale -dsm kinyerezi

Mponjori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
2,205
Reaction score
551
Nyumba inauzwa ipo kinyerezi,ni mwendo wa dakika 5 kwa bodaboda toka kinyerezi mwisho stendi bei tsh. 20,000,000 (milioni ishirini tu) kwa maelezo zaidi PM
 
Attachments

  • DSC01994.JPG
    1.5 MB · Views: 328
Kiwanja kina ukubwa gani..hlf kuna njia ya gari hadi hapo ktk nyumba au itabidi kuomba na kuchonga?
 
Nyumba inauzwa ipo kinyerezi,ni mwendo wa dakika 5 kwa bodaboda toka kinyerezi mwisho stendi bei tsh. 20,000,000 (milioni ishirini tu) kwa maelezo zaidi PM au piga simu 0763662211

Nyumba hii ya kwenye picha ingekuwa inauzwa mil. 20 Kinyerezi katika kiwanja cha 35x35m ambacho hakina mgogoro, hata tangazo lake lisingefika JF.
INGEGOMBANIWA...
 
Nyumba hii ya kwenye picha ingekuwa inauzwa mil. 20 Kinyerezi katika kiwanja cha 35x35m ambacho hakina mgogoro, hata tangazo lake lisingefika JF.
INGEGOMBANIWA...
Ya mbayuwayu.......................
 
:wave::wave::wave::wave::wave::wave::wave: 35*35 penye nyumba? kinyerezi:wave::frog::frog:
 
Nyumba hii ya kwenye picha ingekuwa inauzwa mil. 20 Kinyerezi katika kiwanja cha 35x35m ambacho hakina mgogoro, hata tangazo lake lisingefika JF.
INGEGOMBANIWA...

unaijua kinyerezi au unaisikia?bei ikiwa kubwa matatizo,ikiwa ya kawaida napo matatizo. Ntakupa report after a week na atakayeichukua ntakupa contact zake ili uje umuulize baada ya miaka kupita. Nataka kuuza na bei haipungui, ingekuwa karibu na stendi hata milion 40 nisingeuza!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…