House for sale Bunju

House for sale Bunju

Willibald

Member
Joined
Apr 10, 2016
Posts
24
Reaction score
1
Nauza nyumba nzuri vyumba 4 selfu ya kisasa katika eneo kubwa zaidi ya sq 2000 na ina hati ya 99 years.

Bei mil 250.

Con 0674 338 225
 
hata kama wewe ni dalali usiwe na haraka kupost jipange kuweka tangazo linalojitosheleza naona hata kwenye contact umeandika con acha mzuka kamilisha tangazo dili la hela zote hizo unaaanza kutetemeka kwenye tangazo je ukipigiwa ukaambiwa tunakuja kulipa hutakufa kweli
 
Kwa miaka 5 hii kuuza vitu venye thaman ya hela nyingi ni itakuwa ngum sn maan watu wengi wemestop kununua
 
Back
Top Bottom